Hapa ofisini wapo kibaao ila sipendi kuzoeana nao sasa nifanyeje nitimize ombi lako TUKO?kama asubuhi hii ofosini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'
Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.
Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...
kama asubuhi hii ofosini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'
Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.
Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...
Hapa ofisini wapo kibaao ila sipendi kuzoeana nao sasa nifanyeje nitimize ombi lako TUKO?
Nimefanya_na tena leo nimemwambia bossi wangu,....you knw what kaniambia,....'you are alwayz +ve ..........(she mentioned ma name) which is good and very few men can do'.....ni mama mtu mzima na bwana ake ni professor yuko S.A...........ZOEZI LINAENDELA na mtokeo zaidi ntayaripoti
Hahahahahahahah lol FL1 nimependa comments mamiUmenichekesha kweli kweli..hahaha naona mnapeana madarasa ..nimeipata mbinu yenu ..maana wewe umesema hata kama ameolewa!Kama kuna mtu atanijia leo hii ..nitamwambia thanx na uzuri wangu unachangia ..kazi ya mme wangu hii kunipendezesha teteteteh endeleeni na harakati zenukwa herini!
Uambiwe umependeza??!Tangu ulini ukapendeza wewe!!??Shkamoo!Ahhhhhhhh kumbeAtakaye niambia umependeza Leo Yake ngumu .. asanteni naKila lakheri
Hahahahahahahah lol FL1 nimependa comments mamiUmenichekesha kweli kweli..
hahahahahaha! Hili nalo neno FL.Mimi atakayeniambia umependeza namwambia 'najua kama nimependeza'hahaha naona mnapeana madarasa ..nimeipata mbinu yenu ..maana wewe umesema hata kama ameolewa!Kama kuna mtu atanijia leo hii ..nitamwambia thanx na uzuri wangu unachangia ..kazi ya mme wangu hii kunipendezesha teteteteh endeleeni na harakati zenukwa herini!
hahaha haha aaaaaaaaaaaaaa Tuko bana mi kuna wawili washaniambia hivyo leo nimecheka saana coz nimejua wanatekeleza hili l.o.l. Kwa hiyo hiyo discussion ya badae kwao haitanoga kivileeeeeeee... coz response zimekuwa za tofauti kidogo... teh teh
Umependeza Husninyo!!hahahahahaha! Hili nalo neno FL.Mimi atakayeniambia umependeza namwambia 'najua kama nimependeza'
Hahahaha lolNaelewa nimependeza tanguSiku ili mwezi ule na karne ile Nilipodondoshwa mmmhhhNway marahaba hujambo ae..Umependeza kweli leo.........Uambiwe umependeza??!Tangu ulini ukapendeza wewe!!??Shkamoo!
najua kimey. LolUmependeza Husninyo!!
Hahahahahaha Nimegundua hilo dearbora hata hii threadYakutusifia kuliko ileYa kutudanganyaAD hawa kaka zetu ,mashemeji ,waume zetu naona kila kukicha wanatafuta mbinu za kutongoza ha ha
Hahahah...jipe moyo!!Sijambo japo unanisifia uongo!Ntapendezaje wakati sijavaa nguo?!Hahahaha lolNaelewa nimependeza tanguSiku ili mwezi ule na karne ile Nilipodondoshwa mmmhhhNway marahaba hujambo ae..Umependeza kweli leo.........