Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

Haki ya nani vile tena, haya mazoezi mengine ya JF kwa tulio oa hayafai kabisa

Do not try zis at home or mastritini maana kuna ma-infiz wameganda kisa tu kuambiwa umependeza leo...hahaaa
 
Leo nimeamka asubuhi sana ili wife aondoke nimemwambia umependeza, make JF inanitisha hii.
 
hilo neno "umependeza" limejaa mapenzi kweli, ukimwambia mtu waweza kuwa wamchumbia mtu in direct!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…