utawakubali wangapi? Alafu hawa madada huwa wanakuja wakiamin hawawez kukataliwa.Kaka golden chance hizo.kubali tu
Katika..........vipi wewe unawa-handle vp?
Nimechungulia tu
Mkuu mi sipendi kumwona mwanadada akilia kwa uchungu kwa kutendwa na mimi ndo msababishi.Nahisi hiyo ni sifa ya wengi wa akina dada pia, japokuwa jeuri wapo, wanaotoleaa nje kwa ugomvi utafikiri aliombwa kujitoa mhanga kwa kujifunga mabomu kama Taliban. >>>>>Lakini Bro Jaguar, hudhani kama huruma inaletwa na kiasi fulani cha mapenzi kwa huyo Applicant? >>>>>Binafsi imewahi kunitokea mara moja tu na huwezi kuamini siku hiyo hiyo nikapanda. Sijajutia sana urahisi wangu kwa kuwa hata mimi nilkuwa namtazama kwa tamaa. Baadaye sana tukizungumzia issue hiyo alidai aliona kama nachelewa na akaona mara naweza kughairi. Si unajua tena uamuzi unaofuatia tafakari ndefu hukwepa sana tamaa.
You don't know,they are hoping one day it will happen!Binafsi huwa naaprishieti ujasiri wa namna iyo pale she anapo jilipua, huwa nasema ukweli kwan nachukia kuumizwa/kuumiza.imewai kunitokea mara kadhaa in a polite way sikuridhia maombi yao,nilipendekeza tuwe marafiki wa kawaida jambo ambalo limeniibulia marafiki wa kwel hadi dakika hii!
kaka acha ufala wewe unatutia aibu wanaume wenzako usilete mada nyepesi humu...