Kwa wanaume Tu....I fainally Got....

Ulitakiwa uombe hurusa ktk PM ya Mchungaji, Babu Asprin au CPU kwanza
Sio unajichukulia hatua mkononi


Acha kunibaniaaa.... Ruhusa Rev kanipa na kani PM kua wote kawa forwardia....
 
I finally got the book that will help you understand women better. Let me know if you need a copy!


Rev, I am not sure if this book will be helpful because as we (MEN) know, there are known knowns; there are things we know we know. We also know there are known unknowns; that is to say we know there are some things we do not know. But there are also unknown unknowns -- the ones we don't know we don't know....


Hahahahahah Have a great day 🙂
 
seriously mkuu....:gossip:
you can also check appendix 22,998,001-IV :doh: wanazidi kuweka mkazo hili angalizo ukizidi kubisha tu utashushiwa :brick:
Hahaha lol nimeishia kuchek unafika page hizo halafu still unakuwa bado haujawaelewa hata ile nusu yake bado
 
Kamanada...wakati niko page ya 25,989....mara wife ananipigia anataka nimwambie kwanini jana nilichelewa kurudi home....Hebu mwambie Masa kama ana kitabu kingine. Hiki hakitoshi. Hawa watu unatakiwa uwe unawasoma daily.

Hii page bado upo kwenye TABLE OF CONTENTS
Soma kitabu kwanza, majibu yote yamo humo
 
Mchungaji hiki kitabu inabidi kifanyiwe copyright anayekihitaji anakuona straight maana wakikipata hawa madada zetu watakichakachua
 
Acha kujidanganya... kama umekosa umekosa tu.... na kama ni muuza vitumbua atafurahi tu kua amepata pa kufungia milele....

Sasa mbona hata mi ni muuza vitumbua???
Au unazani kwa vitumbua sipati hela ya kuingia internet cafe kuchek JF???
Heh he he he he
Hili litabu ndo mambo yote, nitawashika kama kumbi kumbi
 
Kamanda unajipa fagizi kwa chati teh teh teh teh

Huyu binti alijifanya mjanja sana
Eti sijui mbinu ya kumtongoza, alikuwa ana nata balaa
Nilimzimikia kitambo, hataki kunipa
Sasa kwa hili LITABU akiniona nalo tu, hata simuiti ataanza kunikimbilia
Na safari hii ataniomba mwenyewe aje kwangu tufurahi pamoja
 
By the time unamaliza kulisoma huyo mwanamke anakuwa keshabadili kile ulichosomea, sijui utaanza upya au vp, lol nimezamia bottle party
 
Sasa mbona hata mi ni muuza vitumbua???
Au unazani kwa vitumbua sipati hela ya kuingia internet cafe kuchek JF???
Heh he he he he
Hili litabu ndo mambo yote, nitawashika kama kumbi kumbi


Na siingii katika mitego yako... kwani mimi nimesema muuza vitumbua hapati pesa....lol...Nafikisha ujumbe kwa Rev kua wewe ni muuza vitumbua hichi kitabu kitasomwa in pieces bora anipe mimi nikampe na bro wangu - Mana alichonipa mm cha mupenzi...
 


Mambo anayonipa K sioni wala siambiwi... sidhani kama level zake waweza gusia CPU bora uombe niwe dada yako wa hiari...
 
By the time unamaliza kulisoma huyo mwanamke anakuwa keshabadili kile ulichosomea, sijui utaanza upya au vp, lol nimezamia bottle party
no way.. this is a comprehensive package for all women, including Lady Gaga's type... i personally think Rev has done a good job sharing this electronically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…