Rev Masanilo, heshima mbele kaka. Napendaga sana post zako mkuu (sio kwa sababu nataka kukutuma ndio ukweli wangu). Sasa naomba unipostie kule kwenye jukwaa la Mahusiano, Urafiki na Mapenzi swali langu hili. Nataka kujua mtu akakaa muda mrefu(>10years) bila kutumia jembe lake, jembe hilo hupungua saizi yake kwa maana ya kimo na unene?
mmh bwana wewe mbona una mambo ?nimecheka yaaaaaaaaan dahh kweli i gharama bure...so unamanisha km una mashaka na size ya mtu inapaswa mabint tukawa tunasample kwa mkono?unachek kiganja +vidole vyake then unajipimia km size unaimudu? mh kwelilinabaki vile vile lakini kipimo kamili cha jembe la mtu ni sawa na kidole cha kati cha mkono tokea nchani mpaka kwenye juu kidogo ya centre ya kiganja exactly sawa na pale mwanzo wa mstali wa kidole gumba kama ukichora L hivi ndo unapoipata size yenyewe.
kwenye kona ya kidole cha kato na kidole gumba ndio kitu chako kawaida kikiwa mnara.
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!jembe lisilotumika miaka kumi si jembe hilo ni nyoya
jembe lisilotumika miaka kumi si jembe hilo ni nyoya
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!
[

kuna law ya use and disuse... shingo ya twiga na mkia wa sunguraMkuu si kwamba linakomaa na kuwa na vipimo vya ajabu!
the more item is used the more it expands.....na ndio maana katika enzi hizo Twiga walikuwa wanatafuta majani juu ya miti wakawa na shingo ndefu. Kwa wafanya mazoezi ya viuongo hasa unyajuaji vyuma utakuta eneo lile ndio linavimba/msuli kama mtu miguu hapigi inakuwa fito
Kilichokuleta huku kwenye sredi ya wakanamizaji ni nini?mmh bwana wewe mbona una mambo ?nimecheka yaaaaaaaaan dahh kweli i gharama bure...so unamanisha km una mashaka na size ya mtu inapaswa mabint tukawa tunasample kwa mkono?unachek kiganja +vidole vyake then unajipimia km size unaimudu? mh kweli