Wakuu nimekumbuka biolojia ya kidato cha sita, mwenzenu sikusoma shule za kata !Kwenye evolution biology kuna law of use and disuse which states that the size of a structure is modified by how much it is used. Kwa maana hiyo kama jembe linatumika sana basi litakuwa kubwa sana lol (Namkumbuka Liyumba) na kama halitumiki basi litapoteza kazi yake (Vestigial organ). Wazee hii vipi?
Huu ndio ukweli wenyewe, na sio jembe tuu, hata upande wa pili.
Viongo vyote vya binadamu vinafanya kazi kwa mtindo wa 'practice makes perfect', the more you use, the better and perfect it becomes.
Wale wadada zetu wa zile 'ofisi za usiku''wanaohudumia wateja watano kwa siku, sio sawa na wake zetu majumbani wa mtenda mmoja kila wiki, ndio maana ukipita tuu kule, basi shurti uanzie kule ukamalizie home!
Huu ni mfano hai wa ukweli, na ulinihusu mimi, nilikuja US na mtu wangu, akapata scholaship ya miaka 4, hivyo mimi nikarudi bongo. Baada ya mwaka mmoja nikarudi US for visit, nilipopata huduma, nikakuta hamna kitu kabisa!. Sikumwambia mhusika, ili alinihakikishia uaminifu wake kwangu wa kukaa mwaka mzima akinisubiri. Visit ilipoisha, nikarejea bongo. Kimoyomoyo nikajisemea kumbe climate ya ulaya inabadili ladha! ndio maana ngozi nyeupe hamna kitu!.
Bongo nikamweleza dr fulani ndio akaniambia, ukisafiri muda mrefu, kama mwenza wako ni mwaminifu wa ukweli, atakapopata huduma, utakuta flat kwa kutotumika muda mrefu mpaka upashe pashe ndipo irudie viwango vyake.
Nilivisit tena US baada ya miaka 2 mingine, this time nilipopata huduma, nikakuta yuko fit!, gess what! ni kesi tuu ilifuatia, na wabongo hawana dogo, haukupita muda sio tuu nikaelezwa, bali mpaka kuonyeshwa aliyekuwa akinisaidia kupasha! kipindi chote wakati sipo. Nilipo uliza, ilikuwa kesi, sio kuombwa msamaha, bali kufunguliwa njia na kuonyeshwa mlango wa kutokea!.