Nafikiri hapo inabidi amweleze mkewe ukweli ulivyo, na pia kumuita huyo rafiki yake kuja kujibu kesi na kuziba nyufa za ndoa zilizotokea. Pengine pia ni angalizo kwa watu kuwa makini na marafiki wa dizaini hii, unamuona msichana siku ya kwanza tu na tayari kufanya mambo .... hatari!