Kwa Wanaume tu, mwanamke ukichungulia shauri yako!!!!!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
wakuu nimepitapita kwa mtandao nkakutana na hii kitu, nadhani inapendeza hasa kwa wale ambao hawajui namna nzuri ya 'how to win/take over the mind' of a woman'.

It is a very interesting thing to know.

Tupia jicho kwa link hii: 10 first-date fumbles men make
 
ha ha ha, eat ur date desert, anaongelea desert gani?
Kumbe huwa mwataka kula desert siku ya kwanza tu?
 
soma between lines utaelewa tu anamaanisha nini!!!
 
Anamaanisha mwisho wa yote mnataka kula desert ya msichana, ingekuwa haongelei desrt kwa maana ya chakula katumia tafsida tu.
Kalagha baho! Wadogo tumeelewa.

Usiombe desert siku ya kwanza

opssssssssssssssssssss! ngoja nikale labda akili itarudi, mweeeee, dunia bado ina maajabu, kazi kweli kweli!!!!
 
ha ha ha, eat ur date desert, anaongelea desert gani?
Kumbe huwa mwataka kula desert siku ya kwanza tu?

R U SERIOUS?
Desert ni mlo wa mwisho - a sweet like fruits, cakes, cream caramel etc hahahahh

Hapo watu ndio wamekutana tu wakatoka dinner kwa hiyo mnashauriwa msijifanye mmeshawazoea sana hao dates wenu siku ya kwanza kiasi cha kutaka kuonje vyakula vyao.
 
Ha ha ha wadogo tumeelewa kumbe wakubwa hamjaelewa.

Ni kweli desert ni mlo wa mwisho, na mtamu kuliko hata hapo kwenye red.
Wanaambiwa wasitake kula siku ya kwanza maana hawajawazoea

Mwishowe wakae kudate nao tena, kwa hiyo wawe wavumilivu.
Dont read between the lines, read above the lines utampata.

Watoto wa siku hizi bana! Mna haraka mno ya kutafsiri mambo zaidi ya umri wenu.
 
Back
Top Bottom