soma between lines utaelewa tu anamaanisha nini!!!
Anamaanisha mwisho wa yote mnataka kula desert ya msichana, ingekuwa haongelei desrt kwa maana ya chakula katumia tafsida tu.
Kalagha baho! Wadogo tumeelewa.
Usiombe desert siku ya kwanza
Eyes closed...
ha ha ha, eat ur date desert, anaongelea desert gani?
Kumbe huwa mwataka kula desert siku ya kwanza tu?
R U SERIOUS?
Desert ni mlo wa mwisho - a sweet like fruits, cakes, cream caramel etc hahahahh
Hapo watu ndio wamekutana tu wakatoka dinner kwa hiyo mnashauriwa msijifanye mmeshawazoea sana hao dates wenu siku ya kwanza kiasi cha kutaka kuonje vyakula vyao.
Ha ha ha wadogo tumeelewa kumbe wakubwa hamjaelewa.
Ni kweli desert ni mlo wa mwisho, na mtamu kuliko hata hapo kwenye red.
Wanaambiwa wasitake kula siku ya kwanza maana hawajawazoea
Mwishowe wakae kudate nao tena, kwa hiyo wawe wavumilivu.
Dont read between the lines, read above the lines utampata.