Aise nimeingia humu ili nijihakikishie haumtongozi my man. LOL
Ngoja niwapishe!
Hebu rudi tumpe darasa huyu la 'cofidence management baaya ya kuwa na watoto 6 kila mmoja na babae'
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
Aisee kwa wanaume walio wengi (at least from my experience) akikubali ujue anategemea zaidi ya love, yaani pengine anaona mambo yako ni mazuri hivyo utamtunza yeye pamoja na mtoto/watoto wake. Hapa ninamaanisha awe single au na yeye awe na mtoto/watoto motivation in maslahi/maisha mazuri kwanza. Usishangae baada ya kufunga ndoa akadai mbadilishe jina la mmiliki wa gari, sijui nyumba, biashara n.k So be careful my sister, si rahisi kihivyo!
Hivi hujawahi kuona au kusikia wajane wakitapeliwa mali walizoachiwa na wanaume zao kisa amepata mwanaume wa kumuoa na kuishi naye na watoto wake hata kama anao 4? Kuna mama mmoja Dodoma alifiwa na mumewe, akamwacha na watoto 3 na mali lukuki. Basi wanaume kibao walikuwa wanataka kumuoa. Akaja akaingia mkenge akaolewa na mmojawapo. Kilichotokea ni majuto hadi leo......
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
Kaunga rafiki yangu sijakubagua unajua mfupa mpe mwenye meno ukimpa kibogoyo ni matusi japo kuwa anaweza mumunya kidogo,au wadhungu husema, the one with scissors knows how to get hurt naukaribisha mchango wako kwa moyo mkunjufu.Sometimes ni ngumu kumfanya mtu awe na mtazamo kama wako?
Halafu si umeona jinsi gani anavyotegemea mercy ya kina kaka, na kusisitiza kutubagua!
BAK mkuu nimekupata vizuri na nimejifunza kitu kikubwa.Kwa wanaume wengi hili si tatizo ali mradi tu huyo Baba wa watoto asiwepo kwenye picha, mara nyingi kama bado kuna mawasiliano naye basi varangati huweza kutokea na kuharibu amani katika mahusiano.BAK
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be comfortable with that family?wale watoto wawili kuwa pattern parcel ya familia yako!kweni ninamaana kubwa kuuliza hivi ,nahitaji majibu na sababu .either wewe unaye mtoto wako huko nje au huna
karibuni ndugu zangu mnipe mawazo yenu
Nadhani haumtendei haki nivea...Mmmh, expect some disappointments lakini.
Kwanza wewe mwenyewe hauko 'inferior' sababu ya hao watoto?
Sio achelewe kurudi nyumbani uanze 'sababu umeioa na watoto'
Kabla hujaanza kuulizia mwenzio, jiulize wewe mwenyewe kama uko proud kuwa na watoto hao.
Then uanze kuuliza mtu wa pembeni, sababu swali hili tu linaonesha hujikubali ina a way.
kama yeye mwenyewe kakubali bila kumshikia bunduki wewe wasi wasi wa nini?
Ndoa/mahusiano ni wajibu wa watu wawili kuyafanya yafanikiwe
ushauri mzuri horsepower na mungu akubarikikama kuna mapenzi ya kweli, kuoa mke mwenye watoto wawili inawezekana. Kumbuka kuwa ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto nyingi sana zitajitokeza pale ambapo muunganiko wenu wa ndoa hautasababishwa na upendo baina yenu, bali vitu fulani fulani.
Kuna hatari ya dharau na hali ya kutokuheshimiana kujitokeza kwa mke/mume na watoto wa mke/na hao mtakao zaa huko baadaye kama wana ndoa nyie mtashindwa kuelewana na kupanga mipango yenu vizuri. Pia ndg wanaweza kuleta vikwazo sana ktk mahusiano yenu. Kumbuka pia hao watoto watahitaji kwenda kwa baba yao/zao. Ni muhimu kuliweka hilo vzr mapema na kutafuta njia sahihi ya hao watoto na wewe mama mtu kuwasiliana na huyo mzazi mwenzio wa zamani vinginevyo unaweza kuonekeana unakumbushia enzi na kuhatarisha usalama wa ndoa mpya!
Lakini ukweli ni kuwa wapo waliofanya hivyo na kufanikiwa ingawa si wengi sana ila mwisho wa siku, hatma ya maisha yenu ya ndoa ipo mikononi mwa nyie wanandoa wenyewe.