Kwa wanaume tu wenye uhusiano

Wandugu kwa wale waliooa na wake zao wako available embu jaribuni kunywa supu ya maboga madogo kama vibuyu Bila kutoa mbegu zake. Nakuambia kama mama hayupo house girl anaweza kufanywa kitoweo. Hivi viboga vingi vipo mitaa ya Kisutu.

Toa maelekezo na jinsi ya kuchemsha hiyo supu...unayakata nusu kama kwny hiyo picha au vp
 
Toa maelekezo na jinsi ya kuchemsha hiyo supu...unayakata nusu kama kwny hiyo picha au vp
Changanya na kitunguu karoti na kapilipili kwbali then chemsha kidogo
 
Mambo haya siku hizi yameshika kasi sana sijui ni kwanini
 
Hata ukinywa mara kumi kwa sku haitasaidia kwa msongo huu wa mawazo,,, ya uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…