Duh mkuu pole sana kwanza kwa ukali wa wanajamii waliotangulia hapo juu kukujibu, lakini nadhani wamekumiss-understand wewe hapa unauliza jinsi ya kuacha hiyo tabia na sio kuwaambia watu waendelee na hio tabia
Nadhani hii issue ipo kwenye akili zako maybe ili kufanya uache hiyo tabia kila wakati unapotaka kumchungulia mtu jaribu ku-imagine huyo ni dada yako au bibi yako am sure hiyo itaku-turn off...
Pili hii karne ya movies na internet kwanini uende kuchungulia watu, ukishindwa kujizuia nenda jukwaa la wakubwa nadhani unaweza kuchungulia vya kutosha bila risk ya kupigwa