watu wanahangaika kutafuta wake wa kulea familia afu yeye anaremba mwandiko hapa.!!
Au anaringia kwamba nina wife material namchanganya na mitoko material
bora atafute C wenye akili waoe A
Kweli kabisa Dada Mkuu,
Mie wangu ni A,
Haya mazaga zaga ya B, C na D naweza kuyapata kwa malipo ya papo kwa papo au mkopo!!
Babu DC!!
hii kalimkuu ni rahisi sana mchukue A kama nyumba kubwa na B small house..
B mkuu huyo A anakuja kukutesa na kuaza kuwaza vicheche vya nje
Huu nao ni ushauli?
Huu ujumbe naufikisha kama ulivyo. Ngoja ni print kabisa. ctaki kuchakachua.
Note: Maendeleo katika familia huleta furaha katika maisha. Fikiria una furaha katika maisha, ghafla unaumwa au mwanafamilia akaugua na kwa kuwa wewe siku zote ni kujirusha tu, hata akiba huweki ina maana utashindwa kwenda au kumpeleka hospitali matokeo yake furaha katika maisha itatoweka. Lakini kama una maendeleo, hata kama mfukoni hakuna senti ni rahisi kukopesheka si una rasilimali bana. ...Tafakari........ Chukua hatua...
Kuna mabinti wawili, A na B.
A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.
in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.
B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.
Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.
Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??
ushauri tafadhali.
atafute C
Hapo kuna mbegu ya mahindi na kuna njugu.
kama unataka kupanda na kuvuna basi chukua mbegu. (A)
kama unataka utamu basi chukua njugu, ongeza chumvi, kunywa na bia. ikibidi alika na rafiki mchangie (B)
hata mimi nimebaki mdomo wazi atiiii!Umeanza lini utata huu????
Ah, mi nimesema tu... kumbe umenisoma? ngoja nipotee.Umeanza lini utata huu????