Kwa Wanaume tuuuu!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Hebu jiulize kwamba leo Mungu anaamua kutoa adhabu kwa kila mwanaume ambaye ktk masuala ya mapenzi-iwe ameoa au bado yupo yupo-ameshawapitia wanawake zaidi ya 10 tangu alipoanza kuwajua wanawake.

Kwamba kwa kila mwanaume ambaye amepita hiyo 'benchmark' ya kuwa ameshafanya mapenzi na wanawake zaidi ya 10 ktk maisha yake, basi 'kitendea kazi' chake kitapotea mara moja na pale mahali patabaki 'flat'. Hebu nipe jibu sasa hivi, unadhani ni wanaume wenzio wangapi leo hii vitendea kazi vyao vingekuwa havipo? Je na wewe ungekuwa kwenye huo mkumbo wa kupotelewa na hiyo kitu?

Jiulize halafu nijibu!
 
Reactions: SMU
Alopitia wanawake 10... ana miaka ngapi vile?? (sorry nitafuta post baada ya kujibiwa)
 
mimi singekuwepo kwenye huo mkumbo....
 
Kwa mwaka au muda wake wote alioishi? maana siku hizi wanaume kwa wanawake ni balaa tupu, kwa hiki kizazi cha dot.com wengi sana wasingekuwa na kitendea kazi chao.
 
duh ningefurahi kweli kweli....maana kwanza ningekuwa nimeondolewa mzigo mkubwa. ningetulia na kuchapa kazi maana wanawake ningeona wala sio temptation tena!!!
 
wataalumu wa kiswahili ni ila sio ela niwieni ladhi
 
mhhh na hiyo sheria ikitumiwa kwa wanawake ndo utashangaaa lol.....
habaki mtu,above 30....lol
 
kumbe wanaume tu mi sikusoma vizuri sorry!
 
mhhh na hiyo sheria ikitumiwa kwa wanawake ndo utashangaaa lol.....
habaki mtu,above 30....lol
ye kaona wanaume ndo hali zenu mbaya kwa kupenda wasichana na ndo maana kauliza wanaume!jibu sasa
 
Average man, btn 27-40 yrs of age!

mkuu hao uliotaja wachache sana kwa hilo rika.wenzako anakuambia alishatembea na wasichana na wengine hawakumbuki majina wala sura.wakipanga msitali wanaweza fika km2.wewe unasema 10.nahisi wewe hujafikisha miaka 28.mtu kwa siku analala na mademu wawili.kama ni kumi tu hata mimi patakua flat.mia
 
Kwanza nimecheka sana baada ya kusoma huu uzi,kwa upande wangu hata wa 4 bado so mi ni kama sijado,kuna jamaa mmoja alihesabu fasta wakafika 50,wewe umesema 10 tu sema mara mbili yake utapata wa kuhesabu!
 
sitaki hata kuimagine ingekuwaje. ila jamani tuache utani kwenye maswala ya msingi
 
Kha basi Post ikiwa na heading.. KWA WANAWAKE TU!! Basi mianamme miingi ndo kwanzaaaa itaiendea.. ila mmmm sijui kwa hii by the way tunapitagapitaga tu.. tunatembeatembea kwa kuwalk-walk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…