Kwa Wanaume tuuuu!

kwa hii tu ni me

uaminifu utachukua nafasi yake hadi raha.
 
nimesoma thread hii then nikaa nikatafakariiiiiii....nikarudisha akili nyumaaa......yaani kama Mungu anaamua kufanya hii kitu ni halali yangu kuwa flat
 
Unajua hii sio sifa wala nini ni ujana tu, na sio vizuri sana kusema hadharani ila mimi kwa haraka haraka nimeshalala na wanawake wanaozidi 400.
Unatesa na dada poa nini?
 

Ikifanyika na kwa wanawake basi na uzazi utakwisha maana hamna atakaye baki...
 
wanaume kwa uongo? ndo hapomnanikera wanawake 50 inawezekana kweli

Kwani idadi yao hapa nchini wako wangapi?hebu jiulize kwani wewe umepitiwa na wangapi?utapata jibu.
 
kile kitendea kazi kipo ili kitumike. lakini kitumike kwa misingi fulani. nafikiri hata wewe ungekuwa na hali mbaya
 
Du hatari kila mmoja angesikitika wake kwa waume, kwa sababu wangebakia jinsia moja tu ya kike wengine wote wanakuwa hawana jinsia na uzazi ungekomea hapo, mimi nafikiri hata kina mama wangechukia mwishoni, kwa sababu wanaweza fiki hiyo adhabu haiwahusu wanaume ambao wana mahusiano nao lakini mwisho wa siku wangekuja kujua baada ya kuona wenza wao wameadhibiwa na hiyo adhabu yaaani kitendea kazi hakipo.
 

Kama ingekua hivi, Tungeshakubaliana na Agizo la waziri mkuu wa uingereza muda mrefu sana!
 
Labda tujiulize tu swali la msingi. In average ndani ya mwaka mmoja mwanaume anatembea na wanawake wangapi? Included na one night stand. Ukishapata jibu ndio utajua wanaume ni akina nani!
 
Reactions: SMU
ok, so mkuu umeshapita hiyo benchmark, hoongera zako!
Wiki hii Monday to Thursday nimeshapiga watatu, jmosi napiga mwingine. Kwa maisha yangu yote...sina idadi
 
iyo ata wewe uliye andika itakukuta me cmo nimehesabu nimefikisha nane
 
Kwanza uliwaza nini kiasi ukaanza kufanya imagination hizo??Embu tuanzie kwako wewe ungekuwa vipi!!!!nahisi badala ya kuwa flat itakuwa imetengeneza depression au kashimo hivi!!!!

we jibu swali kaka, then ndo uniulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…