Kwa Wanaume tuuuu!

Hii huwa inanishangaza sana...wanaume kuona fahari kwa kutembea na wanawake wengi (nayo ni sehemu ya accomplishments). Nimeipata hii sehemu ingawa naona kama imekuzwa sana lakini inaweza kutoa picha fulani.

Kwa mtu kama huyu anaweza fikisha 100 (1+3+8+9+7+15+15+...+....=?)
 
wanaume kwa uongo? ndo hapomnanikera wanawake 50 inawezekana kweli
unashangaa.... baada ya demu wangu niliyempenda sana miaka hiyo kunitosa ndani ya mwaka1 walifika zaidi ya hiyo idadi ial ndo ile ya one 9t off u go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…