Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Kuna siku nakumbuka nilipanda daladala moja nikawa nmekaa na mama mmoja kavaa juba lake anachart buzy sana bhas nikajikuta natupia kijicho cha pemben mbona mama hapa anacheka aseh niliona wanajadili kweny group jins ya kukatia mb** alooo ilibd nimuangalie yule mama mara mbilimbil walikuw wanajadili mambo mazito nilitaman niendele kutupia jicho ila nilishindwa nisije nikaenda mnara bure
 
Hakuna ya wanaume mkuu, sio rahisi wanaume kuchart wanaume kwa wanaume lamzma kue na manzi apo kwa group ndo litachangamka la sivyo labda liwe la porn.
Groups za wanaume ni porn, mpira au siasa . Kama ni group la biashara basi gender zote utazikuta humo.
 
Niliungwa bwana kwenye group lao huko Facebook wanafundishana malimbwata wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…