kwa wanaume upendo ni nini?

...Nimeipenda hio ktk Red

Mwanaume unamfahanu siku zote unashindwaje kujua anaigiza au anasema anachoamini? Naelewa kama mmekutana supermarket na mara amakwambia anakupenda hapo kakutamani. Pendo linaweza kuja baadaye.

Hata hivyo aliye na pendo la kweli hatakimbilia sex. Naambiwa baadhi ya wasichana asipoambiwa habari ya kujamiana anamuona mwanaume hana pendo kwake

Jihadhari na mwanaume anayetaka sex kwa kisingizio cha kupenda. Huyu atakuwa ni mpenzi wa ngono.

Na bahati mbaya mnazibadilisha hizo ulizotaja hapo kua haki. Yaani Mwanamke asipofanya hivo anaonekana ana kiburi na dharau.

kupenda hakupo dunia ya leo. Wanawake wapo ki maslah zaidi, na wanaume wapo kingono zaidi.

hapana kupenda kupo blaza... sema mabinti wa kisasa humgeuza Mwanaume kama sehemu ya kutatua shida za zooooteeeee.... ndo mana sometimes twaamua.. Chapa ilale

Hawa wanaume hawaaaa! Natamani duniani tungeumbwa sisi tu. Lol.

natamani nikujue nikupige konzi,ingawa ahsante kwa kuwa mkweli

Kwa iyo wanawake tufanyefe?

Chakufanya Muache kudanganya. Make utasema we bikira, siku ya mchezo, mh! unakuta ka bwawa vile, kwa nini mwanaume asichoke kwa kudanganywa?
Mi ilishawahi kunitokea aisee, kanikatalia muda mrefu sana aise, siku nimambahatisha, nikasema bora tu ningekata tamaa mapema. So wanawake kuweni wakweli na nyie.

hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi

na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?

Huwa nyege zinatusumbua sana.

Kwa iyo wanawake tufanyefe?

Jueni jinsi ya kupendwa sio makelele. wanawake wenyewe hamjui kupenda na mko tofauti kundi la kwanza mnapenda pesa. kundi la pili mnapenda ngono kama dawa kutwa mar3 ina wabidi msome jins ya kuish na mwanaume. hamjui mwanaume kwenu nikama yai inategemea na unavyo litunza ukiliachia linapasuka then ndio mwisho humega na kula kona. Mkiweza ku2jua mtadumu milele na cc kwa ushauri zaid pm

Mradi tuu usije ukaipiga keyboard yako kwa niaba yangu
nimesema ukweli sasa ulitaka niume ume maneno
usijali bora ukweli japo unauma,kuliko utapeli.ila nimejifunza,nikitongozwa,akili kichwani mwangu.nitakuwa nakumbuka maneno yako

usijali bora ukweli japo unauma,kuliko utapeli.ila nimejifunza,nikitongozwa,akili kichwani mwangu.nitakuwa nakumbuka maneno yako

Kumbuka sana na mwangalie yuko kwa lengo gani na anakuja na sera gani za kukuingilia
Mwambie wazi pia unanipenda au unanitamani maana akiwa wazi kwako japo ni ngumu kusema ila utaona mwelekeo

Mi nilishapenda mara moja na nikaumizwa sana, sasahivi ni dozi tu...

Hayo mambo uliyotaja hapo yapo tena kwa wanaume wengi but hata nyie wanawake mna mambo ya kufanana na hayo,wote sisi wanaume na nyie wanawake wengi hatujui maana halisi ya kupenda coz ni ngumu sana!Kupenda ni kumkubali mtu bila masharti,haijalishi kama nae anakupenda au la wewe ni kutoa upendo tu bila kutarajia kitu chochote,je unaweza?Lakini ukiwa hivi utaishi kwa furaha sana!Hautajali kama unapendwa ama la wewe ni kutoa upendo tu,kumbuka upendo upo kabla ya mahusiano ya kindoa!Put it on mind!

......nathani unaangalia sana tamthilia.....sasa uwe na mpenzi halafu msingonoke atakuwa wa kazi gani?nyie pia mnapenda ndio maana mpo fasta sana kuachia

Upendo unatengenezwa hauji kama mvua,tatizo la sasa kila mtu anaigiza kupenda,siyo mwanaume ama mwanamke,demu ana mind RAV4 ya mshikaji na mshikaji anamind mzigo wa demu alivyofunga teller,sasa hapo upendo upo wapi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…