Kwa wanaume wa Dar

..
.jembe la nini wakati mnatuketea kila kitu huku, tena mnachagua vile vilivyonona, kwanza huku kila sehemu lami baab
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we me Wa dar japo si mwanaume
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we me Wa dar japo si mwanaume
Tuacheni masihara, hakuna sehemu watu wanapiga kazi Kama Dar, nasema hv coz Nina experience ya mikoa yote ya Tz, nilikuwa Tbr kwa muda mrefu pale tukifanya biashara ya hardwares, tulikuwa tunatumia usafiri wa train kubebea bidhaa mbalimbali mf. Bati, nondo, cement n.k. Katika upakiaji tulikuwa tunatumia siku 1, Tu kupakia, hapo kwenye kupakia huwa Ni pagumu Sana, hasa ukizingatia Ni lazima upange vitu Ili vitoshe vizuri tofauti Na kushusha. Jamaa walikuwa wanapakia bila kelele, yaani ukisimamia wala hugombani Na mtu, Na wala haumii mtu, Na bei ilikuwa poa Tu.
Kimbembe kwenye kushusha, machalii wa pale stesheni Tbr kwanza wanachagua kazi, wakiona Kuna bati Tu wanatoka nduki, Mara cement inawaumiza kifua yaani longolongo nyingi, so inabd utangaze dau kubwa, ushushaji unatumia siku 3 kushusha behewa lile la ng'ombe (maana tulikuwa tunatumia mabehewa ya wanyama kupakia mizigo kwakuwa yalikuwa makubwa Sana, almost 60ft) Halafu idadi ya washushaji Ni Kubwa Sana.
So mnaposema wanaume wa Dar muwe mnaangalia Ni jamii ipi mnayoizungumzia maana hapa Kuna kila aina ya jamii, Na ndo sehem pekee Tz watu hawachagui kazi.

Kama huamini njoo nikupeleke walipo wanaume
 
Kabisa ndo maana waambia dar kulala njaa umeamua Kila kitu uku Ni biasharaa Na wanaume wanafanya awachagui kaz
 
So wewe unaamua nini sasa... Ngumi? puta Mchanga tukuchape
 
Kweli wanaume wa Dar
 
Anausongo, akitoka kuchimba kaburi anakuta minofu yote ya nyama wamewekewa wanaume wa Dar😀😀😀
Ukizingatia ng'ombe alimchinja yeye na mbaya zaidi anaetenga hicho chakula ni mke wa huyo anaejiita mwanaume wa mkoani. Im proud to be dume la Dar.
 
Siku hizi wanakatishwa ticket za mabasi ya mwendo kasi wakiambiwa yanakwenda mkoani, wanashangaa wakifika kimara safari imekwisha.
 

hawa wa mkoa wanataka ligi wakati bongo yote tunaiendesha sisi.. kampuni zote kali ziko dar . (Huu mchezo hauitaji hasira)
 
Wamehamia dodoma siku hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa Dar wakienda mikoani wagegeda wake za Watu hovyo hovyo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Na wewe ni mmoja wao.....!!! Kweli kazi ipo.
....haha, kwani wanaume wa Ni watu gani, Ni wenyeji wa Dar au wakaazi wa Dar, kidogo hii inanichanganya...ID yangu inajieleza, mahali fursa zipo Na sisi tupo
 
.
hawa wa mkoa wanataka ligi wakati bongo yote tunaiendesha sisi.. kampuni zote kali ziko dar . (Huu mchezo hauitaji hasira)
...si hawa huwa wanafunga safari kuja huku kwenye fiesta, dada Zao daily wanakuja huku then wanatu g'ang'ania hawaraki kurudi huko misigiri
 
Wanaume wa Dar ndio tunaosimamia shughuli nzima ya msiba kifedha,nyie wa Mikoani kazi yenu ndio hizo ulizooredhesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…