Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kwa hiyo ndo umejua leo hayo:hatari:
Jamani mimi mwenzenu nimeamnua kuachana kabisa na mambo ya nyumba ndogo kwani sioni faida yake dhidi ya hasara. hapa chini ni sababu zilizopelekea mimi kuchukua maamuzi haya magumu.
1. Gharama - Wanatumia pesa nyingi kiliko mke wako na watoto
2. Magonjwa - Ndio chanzo cha kuleta magonjwa nyumbani
3. Umalaya - Wengi siyo waaminifu ukienda home na yeye anakuwa na masharubaro wake
4
6
7
Umejua leo kama nyumba ndogo ni zimwi
Mkuu,keshaonja asali huyu hawezi kuacha,bora afuate mwongozo wa The Boss ili ndoa yake iwe salama.So Bishanga unataka uzidi kumshauri ang'ang'ania nyumba ndogo asiachane nazo au
Maana huo uzi wa The Boss unatoa guide wakati yeye anataka kuacha
s