Kwa wanaume waliooa tu.

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Wanawake bwana, mnapopanga mahusiano yenu ili kuanzisha maisha ya ndoa na familia wanakua very supportive , ahadi nyingi , za kuendana na hali mtakazokumbana nazo , lkn ghafra mkishaanza maisha why stor zinabadilika ?
Uvumilivu unawashinda, tamaa zinawazidi dah !!
 
SIKU ZOTE WANAWAKE NI SHIDA MKUU.ILA KAMA MWANAUME UNAPASWA KUWA KICHWA NA SIO KUZAMISHA JAHAZI LA NDOA
 
Ngoja nisiwalaumu sana mama na dada zetu
 
Patamu sana ndipo pachungu sana,tafuta utamu ndani ya uchungu ndio siri ya mafanikio kwa sababu bado unahitaji utamu.Njia nzuri ya kubadilisha mambo ni kubadilika wewe kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siegemei upande wangu mkuu kwamba niko perfect but vp inapofika hatua mke anakurudisha ktk umasikini kabisaa na bado huoni dalili kwamba anania ya kubadilika ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema,Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili.Mkuu tafakari ilo neno.Inategemea style ya maisha uliyomuanzishia mkeo toka mwanzo.Kuachana si suluhisho,kaa nae chini umpe ABC za maisha zilivyo atakuelewa tu na mtatoka kwenye icho kifungo cha madeni na kugombana na ndugu zako.
 
Ukipata mwanamke kilaza atakuharibia kila kitu, mambo ya ndani anaenda kutangaza nje au anaanzisha kundi la kukupiga majungu, anakupinga kila kitu ata ujenge gorofa: naona nyumba ndogo ileedddd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…