Kwa wanaume walioserious tu

Kwa wanaume walioserious tu

mbona hujaweka qualifications zako???dini,kabila,elimu,kazi .....ando...so.....so...so...ili watu tujitose hapo
 
Ww mwenyewe hauko serious. Mwanaume hatafutwi kwenye mitandao. Utaishia kutapanywa tu mwisho wa siku watu haoooo wanachanja mbuga.
 
Habari wadau,
hii ni kwa wale wanaume walioserious tu kama hauko serious tafadhari usijibu hii post.
natafuta rafiki wa kiume ambae baadae mambo yakienda sawa aje awe mume pia.ningependelea rafiki mwenye umri wa kuanzia miaka 35-40.pia awe na elimu angalau degree moja na apende kusali na mwenye heshima.sina ubaguzi wa kabila.
kama uko serious tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano.
karibuni sana.
unaishi wapi? dar,moro.......
 
Mi siko serious, hivyo napita tu!
 
We lazima utakua na sura kama dume,au maisha yanakulemea.
 
Jamani, tuwe na mitazamo chanya, kutafuta uhusiano na ulvyoviongea mbona hviendani?Anyway, weekend hii wengi mmeshazidiwa na kilaji ...
 
Habari wadau,
hii ni kwa wale wanaume walioserious tu kama hauko serious tafadhari usijibu hii post.
natafuta rafiki wa kiume ambae baadae mambo yakienda sawa aje awe mume pia.ningependelea rafiki mwenye umri wa kuanzia miaka 35-40.pia awe na elimu angalau degree moja na apende kusali na mwenye heshima.sina ubaguzi wa kabila.
kama uko serious tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano.
karibuni sana.

nipo serious saana but umri wangu hujafika hapo jamani! but usijali utapata tu chaguo lako
 
Ww mwenyewe hauko serious. Mwanaume hatafutwi kwenye mitandao. Utaishia kutapanywa tu mwisho wa siku watu haoooo wanachanja mbuga.
..heri mimi sijasema...
 
kama ni mwanamke kwel utakuwa ni kibibi mana huo umri wenyewe unatisha
 
Back
Top Bottom