unaishi wapi? dar,moro.......Habari wadau,
hii ni kwa wale wanaume walioserious tu kama hauko serious tafadhari usijibu hii post.
natafuta rafiki wa kiume ambae baadae mambo yakienda sawa aje awe mume pia.ningependelea rafiki mwenye umri wa kuanzia miaka 35-40.pia awe na elimu angalau degree moja na apende kusali na mwenye heshima.sina ubaguzi wa kabila.
kama uko serious tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano.
karibuni sana.
Ndo zako nini kutapanyaWw mwenyewe hauko serious. Mwanaume hatafutwi kwenye mitandao. Utaishia kutapanywa tu mwisho wa siku watu haoooo wanachanja mbuga.
We lazima utakua na sura kama dume,au maisha yanakulemea.
Habari wadau,
hii ni kwa wale wanaume walioserious tu kama hauko serious tafadhari usijibu hii post.
natafuta rafiki wa kiume ambae baadae mambo yakienda sawa aje awe mume pia.ningependelea rafiki mwenye umri wa kuanzia miaka 35-40.pia awe na elimu angalau degree moja na apende kusali na mwenye heshima.sina ubaguzi wa kabila.
kama uko serious tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano.
karibuni sana.
..heri mimi sijasema...Ww mwenyewe hauko serious. Mwanaume hatafutwi kwenye mitandao. Utaishia kutapanywa tu mwisho wa siku watu haoooo wanachanja mbuga.
Ndo zako nini kutapanya