unafanikiwa kuzikamata pesa
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
Namuambukiza hili gono sugu nililonalo
Dah wewe ni noma! Umenivunja mbavu mkuu!Namuambukiza hili gono sugu nililonalo
Unampotezea tu maana hafai, wa style hizo wako wengi! Ilishawahi kunitokea mimi pia, nikapiga chini pasipo kuremba.Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
muepuke, ukijaribu tu kugonga anakuwekea LIMBWATA, unachukua jumla halafu chamoto utakiona..................