KakaKiiza unacho kizungumza kina ukweli sana japo siyo wanaume wote ila sehemu kubwa tuko hivyo mimi mwenye ninapokuwa safari nahisi kama siitendei haki Hotel niliyofikia iwapo nitalala peke yangu, nadhani hii ni researchable topic ngoja tuwaachie wanazuoni waendelee kulijadiliKwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:
Kweli ila madreva wa malori makubwa mmmmmh hao Dar-Zambia au Kongo vidumu 20 hivi.mpo wachache wengine wanalala tuu
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:

Aiseee! Si huwa mnasema biology zenu ndo zinawafanya muwe hivyo!

Siwezi kulala hotel bila mchuchu
Umenikumbusha mbali mkuu Marangu Baa bado hipo??Kibo bytheway sipapendi weekend maana makelele ya disco,Zanzibar hotel dah!!Ila naomba nikwambie kuna hotel kuna Bible nawatu juu ya Bible wameweka mzigo wa condom!!Sasa hiyo nikazi ni kwako!!But Mostly wakienda safari lazima waende Shivas pande za Arusha Chakonichako pande za Dom,Toplife pande za Moro na sehemu kibao!!Niliipinga kabisa hio hali na last time nilikua Kigoma nilikaa Hotel ina inaitwa Zanzibar....kulikua na Dada mmoja wa kikongo (nadhani kutokana na lafudhi yake) alinitaka lakini nikachomoa na mwingine alikuwa mhudumu wa pale hotelini. So please sio wote tuko hivyo safari yangu ya mwisho ilikua tarehe 11th September 2011 na nilikua Kibo Hotel-Marangu hapo napo ilikua the same ila nilirudi salam, mi nadhani ni the way unavyoamua kuijiweka, nakubaliana na hoja yako ila nakataa ulivyofanya majumuisho....Ombil langu kwao ni kwamba wabadili Tabia, jenga abia ya kusafiri na Bible au kitabu cha dini yako au hata gazeti ambalo litaku-keep busy, kwa wale walevi hapo sasa....