Kwa wanaume wanao safiri!!

Basi pale mwamugongo mimi nilisha kaa watu wazushi hakuna kitu kama hicho kwani huyo mwenye guest alisha fariki wamebaki watotto wake basi!
Unalofanya wewe sio wote wanafanya " wengine wanaheshimu ndoa zao hata akikaa mwezi na zaidi atavumilia tu"
Go away wewe nibingwa wa inf'únataka kuleta mbwembwe hapa tena shika adabu yako nisikumwage hapa kwenye ukurasa!!Chunga!!

Nipo uingereza sasa hivi na niko busy na mambo yangu huo muda wa kufikiria ngono nitaupata wapi? Nadhani iko applicable kwa wale wasiojua purpose of their trip.
What the sheet you'"re talking about?do you think who want to know your business here in JF?Mightbe you''re first time to visit uk??Kwako wewe kilakitu cha maana ni UK??huh??Unakuwa na hadithi za kipofu siku aliona chakwanza kuona aliona Tembo na upofu ukamrudia hivyo kila kitu akiambiwa aliona nikama Tembo!!

kati ya mwnamume na mwanamke.. ni nani huwaza mahaba/kuchapana kirahisi zaidi bila hata atention/awareness/kinga.. punde anapokua amelewa , nijibu mtoa mada.
Wanawake mpaka kuwepo na kishawishi lakini kwetu wanaume hata bila kishawishi wenyewe tunajitune kwamba huwezikuwa confortable bila kuwa na mwanamkwe!!Wanawake wanaonewa katika hiliI japo wanaotaka wanaume kinguvu kwakuwapa pombe!!

Swali kwa mwanaume yeyote afanyaye hivyo: kama hukushiba chunguni cha kupakuliwa kwenye sahani utashiba?
Yote yaezekana hiyo nimipasho ya kwenye kanga!!
 
Nilisalimika Mkuu wangu, pole sana sana, nililala Zanzibar Hotel siku mbili then nikaelekea Karago-kijiji ambacho kiko kando kando ya Ziwa Tanganyika, hapo napo nililala guest ya aina yake, haina ceiling, haina maji wala sakafu....baaada ya hapo nilirudi Kigoma Mjini na nilirudi tena Zanzibar Hotel tena, nilikua na Bible mkuu, jitahidi uwe unabeba hata tasbihi tu inasaidia, vinginevyo waweza usirudi na "nyeti" zako....
 
Mpwa hapo kwenye red hapo mbona umenena kwa ukali hivyo? mi si ndio maana nilitoa mifano ya kwetu kigoma kusikokuwa na umeme wala barabara? kwa hio unashauri jamaa angepeleka hii comment yake kule kwa wauza nyuso eeeh (Facebook)....uwe na siku njema Mpwa
 
Mkuu KK mbona unauza nyaraka? Mambo mengine siri yetu bana! Au unataka wanaume wapigwe ban ya kusafiri? Kiiza bana!
 

Hawana lolote hao kabisa, UZINZI tu ndio unaowasumbua. Wengi wao wasivyokuwa na haya wanaishia kutembea na baamedi au wahudumu wa guest... Mtu kasafari ka siku kadhaa tu utakuta anahaha haaa.. kama sio ulafi wa Ngono ni nini? Mungu awasamehe na hayo maradhi wanayotafutia familia zao.
 
kuendekeza uzinzi tu ... mbona unaweza kukaa na mkeo siku tatu hujamfanya na nini kinapelekea usafiri siku mbili ndo uendekeze uzinzi???
 
Mkuu KK mbona unauza nyaraka? Mambo mengine siri yetu bana! Au unataka wanaume wapigwe ban ya kusafiri? Kiiza bana!
Mkuu nisamehe bure nilikuwa katika reseach mkuu!!Lakini naona inaelekea kukamilika!!
 
Mpwa watu wanakera bora aende huko kwenye wauza sura kwani wao nirahisi kusema mimi nilikuwa michigan,Newyork hatutashanga wanambwembwe huko mpwa usiende!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…