Kwa wanaume wanaochezea kichapo kwa wenza wao!!!!

Kwa wanaume wanaochezea kichapo kwa wenza wao!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Kipo chama chenu kitaanzishwa muda sio mrefu,kwa maelezo zaidi wasiliana na Gerald Hando au Paul James wa Clauds Fm,au sikiliza Power breaks fast,mtaweza kupeleka malalamiko yenu kisha kufanyiwa kazi,atakaeona aibu shauri yake!
 
Mkuu Puuu!Ebana kwanza hiyo ID yako nimecheka sana,back to your question ni kuwa mimi simo,nawapa taarifa wahusika,sijaoa mkuu!
 
Kama waasisi wa chama hawachezei kichapo, watajivua gamba muda si mrefu kwa sababu hawatakuwa viongozi bora wa chama bila ya kuwa na experience ya kuchezea kichapo!
 
Kama waasisi wa chama hawachezei kichapo, watajivua gamba muda si mrefu kwa sababu hawatakuwa viongozi bora wa chama bila ya kuwa na experience ya kuchezea kichapo!
Waasisi wanachezea kichapo kama kawa!
 
Kama waasisi wa chama hawachezei kichapo, watajivua gamba muda si mrefu kwa sababu hawatakuwa viongozi bora wa chama bila ya kuwa na experience ya kuchezea kichapo!

Dai haki zenu!
 
Eiyer nina wasi wasi hujaoa ila mpaka sasa unachezea kichapo kwa mchumba uliye nae. Inawezekana ulikuwa so interested kusikiliza kwa kuwa unajua ukija kumuoa huyo mchumba kichapo kitakuwa size yako
 
kichapo ndani ya ndoa ni sehemu ya mahaba tu hakuna ajabu na usisahau huyo mke huwa si kichaa lazima huyo mume awe amemkera vya kutosha hasa ndio anachukua kipondo. HONGERA kwa wanawake wote wanaomudu kuwapa kichapo waume zao wapuuzi
 
Back
Top Bottom