hapo vipi masela. tonight.
hapo vipi masela. tonight.
Heshima yako mkuu,hapo kwenye red hapo naona hakuna busara kabisa.....Nakuheshimu kiongozi.
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati
kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii ni kwa watu wanaoishi katika Wilaya ya Mkoani-pemba.gharama imekuwa juu ya vyakula tena visivyo na kiwango ,vyakula vibovu .katika maoni yao wao walikuwa na haya''jama tumechoka kudhalilika kwagharama za vyakula,bei juu ,wanafanya kusudi hawa ni wafanya biashara tu wakulaumiwa''.Wewe ni mzanibar na hata wewe ni sehemu ya tanzania unalipi la kuchangia ?
toa maoni yako.
Du Babu Gosbertgoodluck (samahani km ni kijana mana hiyo avarta!)
breki ya yote ni kumpiga KATERERO (Canningulus) maana km anachelewa atakuja tu na mziki wake ondoa mashuka. Watu wa ziwa wanaulewa mchezo huo mm naogopa Ban hapa
ukishindwa niarifu nitakufafanulia au mtafute mwanadada wa IWEE BOJO, bojo waitu
Hutakaa usahau kwani katika raha ulizozikosa ni hako kamchezo hutawahi tena
Ayaaah! Jamaa kachanganya maji kwenye mafuta!kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii ni kwa watu wanaoishi katika Wilaya ya Mkoani-pemba.gharama imekuwa juu ya vyakula tena visivyo na kiwango ,vyakula vibovu .katika maoni yao wao walikuwa na haya''jama tumechoka kudhalilika kwagharama za vyakula,bei juu ,wanafanya kusudi hawa ni wafanya biashara tu wakulaumiwa''.Wewe ni mzanibar na hata wewe ni sehemu ya tanzania unalipi la kuchangia ?
toa maoni yako.
Wandugu,
(3) Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata yaani unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara jitahidi kukata pumzi kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga mbele zaidi na zaidi.