Kwa wanaume 'wanaowahi', dawa hii hapa...

mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati

Naifahamu hiyo dawa mkuu...ni balaa,ila pia inamchosha sana mwanamke na unaweza kumchubua K.
 
Wasukuma hii haituhusu... Kama mpo bac Rudin majumban mkaage vzur pia msisahau kukimbiza ndama mpka umshike.. Ukifanya hvyo hukojoi kabixaaaaa... Mwabheja sana
 
Tafadhari nipeni dawa ya kuchelewa maana mwenzenu nateseka mpaka wife saa nyingine anakimbia anahamia washroom.

Ukiwa na gemu kunywa maji mengi,juice ya matunda ya asili au kinywaji cha kawaida kitakachokupa mkojo,
Wakati unafanya unakuta mkojo unataka kutoka na bao pia lataka kutoka so unachelewaje kufika kileleni.

Pia waweza chomoa au kusimama kama bao lataka kutoka au unabana mkundu
 
Natoa dawa iliyo rudisha heshima kwangu, kunywa maji mengi zaidi ya lita 4 kwa siku pia kula vitu ambavyo vitakusaidia kuzalisha mbegu kama vile karana robo kilo kwa siku utanipa majibu jombaa yaani mpaka wife amepata mimba mwezi huu na ndiyo ya kwanza.
 
Dawa ni kuchomoa tu mara ukaribiapo kufika kileleni. Baada ya muda bao litapotea then waanza tena upyaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…