ha..haha.....haaa.... binafsi sioni kosa kwa mtoto kuwa na baba mlezi na kiukweli sikubaliani na dna kwa sababu kwa kiasi fulani inaleta ubaguzi kwa mtoto kwa makosa ya uzinzi wa azazi dawa ni kuacha sio kupima watoto ikitokea umepewa mtoto wa hiari pokea si shida na upumbafu wako ndo umekupeleka! achilia mbali kitanda hakizai haramu
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo nyumba ndogo zenu na zenyewe zinawaita nyumba ndogo kwa sababu zina nyumba kubwa,wengi wenu mnalizwa! nawasilisha:yell:
tehee...tehee....... kuzidiwa mtu wangu unafikiri ameyataka ndo mana analalamika! lea mtoto huyo ni taifa la leo al!wee nae utakuwa nanga mpaka uamue kuzaa na nyumba ndogo...huyo ni wa starehe tuu!!!!