Maua, choo na bafu nzuri yenye marmaru,madirisha mawili makubwa kiwe machweo ya jua, sofa moja size ya kati, meza kubwa kiasi, na kiti chake, chumba kikubwa, jiko binafsi, room ndogo ya push ups, ward robe kubwa na ndefu ya kufunika ukuta wote! masinki mawili makubwa ya kunawia haya Bath tabs moja kubwa, mlango wa dharula, dohani, uvugulio, kiwe karibu na garage yangu yaani nikisema nkae huko mwaka hkn wa kuniona sebureni ya jumla!! hata majirani au humu ndani!