Kwa wanaume

22nd

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2010
Posts
494
Reaction score
137
Kwa baadhi yetu nyie mlio wachafu!
Unajisikiaje kulala bila ya kuoga? na tena kulala na kumkumbatia mpenzi/mke wako huku unanuka jasho
jamani mnatupa karaha,jaribuni kuwa wasafi mkishaanza kuishi na mke/mpenzi wako.
Ukioga sio kwamba ndio unakuwa sharobaro, jirekebisheni.
Subiri niwakumbushe
1-kuoga ni mara 2 kwa siku, asubuhi na jioni

2-mswaki mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni

3-soksi zinavaliwa si zaidi ya siku mbili

4-chupi inabadilishwa mara mbili kwa siku(ila kwa nyie acha iwe mara moja)

5-shati ni mara moja

6-vest mara moja

7-makwapa (ku shave)angalau yakumbuke mara moja kwa mwezi
maana utakuta mtu manywele ya kwapa yamekuwa ya njanoo(blonde) inakuaje?

8-huko kwa mzee pia msisahau kupunguza hivyo vinyweleo

Kufanya usafi wa nyumba tutawasaidia

Ukiwa single utajijua mwenyewe ila ukiwa na mwenzako jaribu kumfikiria kwa afya yake na yako pia maana making love is a dirty game kwahiyo ukichanganya na uchafu wako basi inakuwa kinyaa baada ya ku enjoy unafikiria huyu mtu atashuka saa ngapi.
 
sasa inabidi sometimes umkumbushe mr wako...hujui kama mmeo akiwa mchafu mbele ya jamii ni aibu yako m/mke?
 
:bathbaby::washing::brushteeth::behindsofa:
 
Haya wababa mmesikia...kuweni wasafi msiwaboe wenzenu!!!
 
7-makwapa (ku shave)angalau yakumbuke mara moja kwa mwezi
maana utakuta mtu manywele ya kwapa yamekuwa ya njanoo(blonde) inakuaje?

Hivi kumbe wapo wanaume wanaoshevu nywele za kwapa! Aiseeee
 
hajaoga halafu anakuwekea kikwapa puani,mbona utakoma.
 
haya wababa mmesikia...kuweni wasafi msiwaboe wenzenu!!!

kuna wanaume wengine ni wasafi sana ila wengine mpaka unashangaa huwa analala vipi na mwenza wake.
 
that wld be very simple and romantic kama...ukiniosha, ukinishave na ukinibadilishia hivyo viwalo...serves both right, and more au?
 
oh bado sina mpenzi nikimpata ntaanza kuwa naoga, mi huwa nalala na nguo nilizoshinda nazo job navua kesho yake navaa nyingne off to job tena.
 
Ukioga mara kwa mara unapunguza uzito ndo maana wanawake wanene wanatema hasa kwenye kwapa za miguu wanahofia wakioga mara kwa mara watapunguza unene!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh!hayo mambo siyawez vest mara moja?mi yangu hadi iwe ya njano ndio navua!!
 
ukioga mara kwa mara unapunguza uzito ndo maana wanawake wanene wanatema hasa kwenye kwapa za miguu wanahofia wakioga mara kwa mara watapunguza unene!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mhh,makubwa haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…