kwa wanaume, hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (masuala ya kazi, biashara, etc.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? Af wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? af Wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
.Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? af Wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? af Wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
ahahahaah!! Hii ndio suluhisho..Hapo unapiga wote kwanza halafu unajichagulia aliyekurusha roho vizuri
Sio bure huyu atakuwa mwalimu wa tuisheni anayewazengea wanafunzi wake,muuza mahausigeli,kuwadi,anafanya kazi saluni ya kike,anauza mitumba/viatu vya kike,anapaka rangi kucha,anachaji simu au mchuuzi sokoni..
Sasa sabubu za msingi ni zipi hapo. Kwa hiyo wote ishirini uliwapa namba zako za simu? ni biashara gani hiyo na wasichana wote ishirini? Au unauza ma hause girl? au una taka kufungua danguro? Wote wazuri? ndo maana ukawapa n0 zako, wewe si ulisema kibiashara?, sasa sisi tukusaidie vipi hapa? namba si umewapa mwenyewe? Haya fanyeni basi hiyo biashara.
acha kutuzuga hapa, biashara na mapenzi wapi na wapi.