Fuata mila na desturi za jamii yako pamoja na mafundisho ya dini yako ukiweka utandawazi ndani yake umeliwahebu tujadili hapa ni mfumo gani mzuri wa kuishi na hawa wenzetu maana ukimpa mamlaka sana tatizo, ukimnyima mamlaka tatizo tufanyeje?
yaani unataka tukubaliane juu ya system ya kutumia, mi naona itakuwa ngumu sana we tumia mfumo unaoona unafanya kazi kwa upande wako. Binafsi baba ndio kichwa cha familia kwa hiyo if I say yes ni yes na kama no it means no.[/QUOTE]
Ndiooo Afandeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hiyo nimeipenda sana if YES ni Yes if NO ni Noyaani unataka tukubaliane juu ya system ya kutumia, mi naona itakuwa ngumu sana we tumia mfumo unaoona unafanya kazi kwa upande wako. Binafsi baba ndio kichwa cha familia kwa hiyo if I say yes ni yes na kama no it means no.
Cha msingi ni kushirikiana kama wana timu moja.
kushirikiana kivipi?..cha muhimu ni mmoja kuongoza familia period....mmoja boss mwingine msaidizi anayefanana naye....ukileta kulegea itabidi wote mvae siketi na mtandio.
Kushirikiana ktk mambo yote. Kwenye kulea watoto, kwenye kufanya maamuzi, kwenye mawasiliano, kwenye kutunza mji wenu, n.k. Hayo mambo ya mmoja awe ndio kibosile na mwingine msaidizi mimi siafikiani nayo. Mke au mumeo ni mshirika wako ktk maisha. Kushirikiana ndio kunafaa. It's all about team work.
umeoa lakini, usijekuwa unaongelea uzoefu wa wenzio?
Cha msingi ni kushirikiana kama wana timu moja.
Hata timu huwa ina Manager na Captain. Cha muhimu ni kuelewa nani ni kiongozi wa hii entity inayoitwa familia na huyu siyo mwingine ni baba wa familia.
Na kwa kuongezea alichosema NN, Team work ndio hupelekea mafanikio.. huyo anayesema kuna sijui boss au meneja? Wengine wasipofanya kazi utakuwaje meneja?
Hata kiongozi asipokuwa na followership/wanaoongozwa, ataongoza hewa?
Mfano mzuri ni timu ya mpira... kuna mpangilio au mgawanyo mzuri sana wa roles.. ukijiona wewe ni bora zaidi kwa vile wewe ni mfungaji, wenzio wasipokupasia mpira utafunga hewa?
Tukija kwa wanandoa, baba anaweza kuwa kichwa/kiongozi - captain. Haina ubaya na ni vizuri sana maana kila hali inahitaji kiongozi.Ila kuwa kiongozi haina maana kukandamiza au kuburuta wengine.Ukifanya kosa hilo ujue mwenyewe utaumia..hutafurahi uongozi wako, hutapata ushirikiano, na pia ujue u will be the most unpopular figure in your family.Kumbuka utaleta ubabe uwapo kijana, uzee ukiingia ubabe uliowekeza utauvuna na utalia mwenye kwa jinsi watakavyokutenda hao hao unaowanyanyasa.Mifano ipo mingi sana.Ogopa kuonea hasa watoto.. wakikua utajilaumu na hawakawii.
...sijasema kushirikiana hakupo, kupo, ila mmoja ni boss meingine msaidizi..ofisi hapo inaenda.