kwa wanawake 2

kwa wanawake 2

b4theg

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
356
Reaction score
1,208
mi naitwa john 22 yz nipo dar.
Natafuta mwanamke wa aina yoyote. Aliyetayari tuwasiliane katika johnekwa2@yahoo.com
 
Mkuu sina uhakika kama kweli unatafuta mwanamke.kama kweli yupo msichana hapa kwetu nae anatafuta mwanaume ila yeye ana miaka 29. Na kwakuwa shida yako ni mwanamke nadhani huyu anafaa japo aliwahi kupata ajali ya train miaka kumi iliyopita na kumharibu sura yake.hivi sasa ukimuona unaweza ukazani anacheka maana meno yake yapo nje nje. Kama vp mkulu ni pm nikuunganishe nae.tena atanishukuru mno.
 
hujafa hujaumbika mlete 2
 
Nenda love connect, kuna uzi nimetuma ya kuomba uchumba kule... utapata jibu
 
mmhhh,you two match.....made in heaven....go dearest....lolest....9t 9t ,sweetdreams!!!:A S-rose:



Usinilize i have my own strong male Alpha... mpaka he is used as an eg...lol...:violin:
 
hee mi pia nipo strong my dia bt the mst of all i got skills za mambo ye2 ingawa im only 22
 
Dah! kumbe nimeingia choo cha kike ngoja nichuchumae kabla hatujagongana na ASHA D
 
Dah! kumbe nimeingia choo cha kike ngoja nichuchumae kabla hatujagongana na ASHA D
Sio choo cha Rais?maana cha kike siku hizi hata midume mingine inaingia bila haya kupaka wanja
 
22+22= mmmmmmhhhhh
unanitaka kweli dahhhh
Na weza kuwa dad aako mkubwa
labda hata mama..

embu badilisha hiyo yeyote...
maana ina maelezo mengi na mengine si mazuri..
usijishushe kiasi hicho..
asante mtoto mzuri
 
Sio choo cha Rais?maana cha kike siku hizi hata midume mingine inaingia bila haya kupaka wanja
Duh! hii ndo nasikia kwako huku kwetu sijaona mwanaume anajipodoa.
 
nina maana yangu nlipo sema yoyote sijakulupuka.
 
Be focused a bit, unatumia viashiria gani. Hii ya yoyote nina wasiwasi nayo. all the best!!
 
ndio namtaka kimapenzi. Ndonga naweza toa vigezo kibao na atajitokeza m2 ata sema yeye anavyo lakini je mimi ntakua navigezo anavyo taka yeye?
 
ndio namtaka kimapenzi. Ndonga naweza toa vigezo kibao na atajitokeza m2 ata sema yeye anavyo lakini je mimi ntakua navigezo anavyo taka yeye?

Anaweza atokee mtu aseme
hataki kutumia condom.. au hata
kaa apime anaogopa.. my dear ikija
kwenye kutafuta mpenzi usikubali
kuwa second hand au usichukue yeyote .... maana kila msicha
apitae machoni mwako si mwema
na wala si mpole ....
na saa nyingine hatajali wewe una
taka na kuhuitaji nini.... changua dear...
 
22+22= mmmmmmhhhhh
unanitaka kweli dahhhh
Na weza kuwa dad aako mkubwa
labda hata mama..

embu badilisha hiyo yeyote...
maana ina maelezo mengi na mengine si mazuri..
usijishushe kiasi hicho..
asante mtoto mzuri

afro achana na dogo kwanza asome shule njoo kwangu tafadhali
 
Back
Top Bottom