Kwa wanawake tu: Je ni njia gani nzuri kusafisha sehemu ya siri?

Phdum

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
1,322
Reaction score
3,278
Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu.

Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo wakati wa kusafishia huko kwenye gidhinyaku, mnaingiza vidole huko ndani ndani na mnachokonoa hasa huko ndani.

Na kuna njia hii mnasafisha kwa kuparaza paraza juu juu na hata kidole unakuta anaingiza labda kidole kimoja tu.
Hawa wanaopapasa pasa niliwahi kumuuliza moja kwanini haingiza madole huko? Akanijibu kuingiza madole huko kunaharibu uchi (uchi unatanuka) sijui kama kuna ukweli.

Na kuna mwingine nilikuta anatumia sabuni kabisa kusafisha huko mpaka nikashangaa maana ni wachache sana wanaotumia sabuni kwenye kusafisha uchi zao.

Naomba kuuliza, je ni njia ipi ni nzuri na bora katika usafishaji wa uchi?

NB: usiniulize huu uchunguzi wangu nimeufanyia wapi. Maana bado sijaoa napiga mechi za nyumbani na ugenini.
 
Tumia maji safi na salama kujiosha, ukiweza chemsha kabisa yakipoa jisafishe vizuri, ukiwa sehemu ambapo sio rahisi kupata maji safi ukipee tumia unperfumed wipes na sio tissue kujikausha labda kwa case ya dharura unapokuwa huna hizo wipes.

usitie chochote zaidi ya maji masafi, safisha nje, usiingize kidole wala usikubali mtu akuingizie kidole, wala usifanye douche ya aina yoyote (kufukiza, kuweka sijui sticks, etc).
 
Kua mwanamke ni kazi kubwa aisee.. poleni
 
Jibu toshelezi kabisa...
 
Jibu toshelezi kabisa...

Sure, ukipractice hii na ikawa ni life style utashangaa ni kivipi wanawake hutukanwa kwa ku smell rat kwa pussy, aisee pussy ina harufu yake moja hivi safi sana, halafu sio rahisi kuielezea, ni ka harufu fulani kamepoaaaaa, sometimes naifananisha na harufu ya maji yaliyochemshwa, au harufu ya mvuke wa maji yanayochemka, Imagine! Je kuna anayeweza kuielewa hii? Sio rahisi.
 
samahani lakini. Hapa napata masuali mengi sana kuhusu kutokuingiza vidole ndani kusafisha huko. Mfano ndo umesex au umeolewa na ni lazima itakuwa inatumika mara kwa mara.
Je utafanyaje kuondoa mabaki ya manii kama endapo huingizi vidole huko?
 
Na huo utoko ndani unatolewa na nini mkuu

Cc Kingsmann

Utoko (kiswahili) ni Vagina fluid au discharge sio? Huo unatoka wenyewe na hauna madhara yeyote kutoka ni kitu natural just like mate kuwepo mdomoni.

Kitu cha kuzingatia, zitambue discharge za healthy Vag zinakuwaje, moja ni nzito, zinatoka kwa kiasi, kwa siku labda utapata kadoa kamoja kwenye under pant, hazina harufu mbaya, mara zingine ni colorless au zina rangi ya nyeupe ambayo si strong, cha kuzingatia hazina harufu mbaya. Ziache zitoke zenyewe safisha nje tu huko ndani hakutakiwi kuwa kukavu ndio kazi ya hizo fluid. Tofauti na hapo kimbia kwa gyno.

Kabla ya yote ni lazima kuhakikisha kuwa mfumo wako wa via vya uzazi(sijui kama ni neno sahihi) ni healthy na haujawa disturbed kwa namna yoyote na magonjwa.
 
samahani lakini. Hapa napata masuali mengi sana kuhusu kutokuingiza vidole ndani kusafisha huko. Mfano ndo umesex au umeolewa na ni lazima itakuwa inatumika mara kwa mara.
Je utafanyaje kuondoa mabaki ya manii kama endapo huingizi vidole huko?

Manii haitolewi kwa vidole dia automatic ukichutama zinatoka


Cc Kingsmann
 
samahani lakini. Hapa napata masuali mengi sana kuhusu kutokuingiza vidole ndani kusafisha huko. Mfano ndo umesex au umeolewa na ni lazima itakuwa inatumika mara kwa mara.
Je utafanyaje kuondoa mabaki ya manii kama endapo huingizi vidole huko?

Kila kinachoingia huko kitatoka chenyewe wala usipate shaka ni suala la muda tu tena haizidi masaa 72 kila kilichoingia na hakina kazi kinatoka kama discharge. kuna namna wanawake hawapewi elimu sahihi ni kwa namna gani “nyuke” zao zinatakiwa kuwa. Kwa kifupi labda niseme uke hautakiwi kuwa mkavu kwa ndani (vag truck). Sasa ile hali ya kuwa sio mkavu kwa ndani huwashtua wanawake na kujiona pengine sio wasafi, ukavu unatakiwa kuwa nje tu na sio ndani.

Kabla ya hii process yote kufanyika automatically kuna vya kuzingatia, soma comment niliyoreply comment ya Unforgetable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…