Kwa Wanawake tu...................

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Je akupendae (mumeo/mchumba/mvulana) anakuitaje???

Nimepata hii sms nikaona ngoja niirushe hapa maana imenichekesha kidogo:

1. Honey= Kimeo
2. Dear = Wakuzugia
3. Sweet = Mshamba
4. My Love= Zezeta
5. Baby=Jinga
6. Mpenzi = Malaya
7. Darling = *****
8. Wife = Kahaba

Kuna ka ukweli hapo kwenye namba 2, na 5 kwa upande wangu
 
hahahahahahah lol
sasa nadhani muda wa ku lala umefika
dahhhh umeniacha hoi sis..
asantee
 
mi demu wangu huwa namwita kicheche, ila samahani kwa kuingia choo cha kike
 
mi demu wangu huwa namwita kicheche, ila samahani kwa kuingia choo cha kike
Kiranja shauri lako,hawakawii hawa kukurusha kichura!
by the way mi wa kwangu huwa namwita kwa ubin wake' Binti Abdallah',nae huitika 'rabeka bwana',sasa hawa wa MMU sijui wanawaitikiaje waume/mabwana zao? ukimwita 'Dena' anaitika 'unataka nini',du e bana eeh shughuli!
 
Mamamaaa, ngoja nifute nibadilishe jina fasta, sjiui hata nimwite nani sasa, yaani kweli my wife kumbe anaiita nanihii kumbe maana yake ndio hiiii. Kha, sorry mbona kama vile nimekosea njia?? Shit sio huku, kwaheri
 

Mie naitwa Dena hakuna cha honey wala nini. Bishanga wafanya nini huku??
 
namba 5 naikubali hoja haikatai hata kama itakula kwake
 

Dah nimeingiza njia tofauti sahamani
 
mmh..mbona kuntisha!?? nitapitia simu yake leo...ngoja nimpigie tukutane posta nkitoka kazini...oops ts 4:44pm...betta hurry..bye 4 nw!
 
Aiseee...sasa kama mtu ndivyo unavyomtafsiri hivyo unakua nae wa kazi gani?!

Nwy poleni wababa‘!
 

Hakuna Husband, safi sana
Napita tu . . . sorry
Bye . . . :car::car:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…