Mhhh kumbe ni kwa wadada tuu ngoja niondoke faster
Susy umenikumbusha lol nimeshtuka kidogo avatar yakoMhhh!!!!
Mhhh!!!!
Susy umenikumbusha lol nimeshtuka kidogo avatar yako
njoo huku tusubiri majibu bro
Niko poa my gal...mic u much tooo.pamoja mamypole swty!!
mzima ww lkn? unaendeleaje? mc u so much!!
So jibu ni lipi?
Usichape lapa kabisa chungulia hata dirishani tu!
Kama mtu anaishi na mumewe kama partner hana haja ya Mfanyakazi pale tu mkioana... Maana mpo wachache (yaani wawili) ni rahisi saana kumangae... Chakula ni cha the whole week kinanunuliwa weekend, usafi kama kufua & kunyosha, mazingira ndani na nje ni siku moja ya weekend, Kupika ukijimanange kikubwa uwe na Microwave yasaidia saana.
Kimbembe kinakuja kama mnaishi na familia zaidi... yaani iwe mtoto/watoto wa ndugu... Mfanya kazi ni inevitable... Tena wa kike...
Lakini AshaDii, mpaka wanandoa wafikie kuulizana Jinsia, kweli hakuna walakini hapo............... kwa nini iuliziwe jinsia in the first place?