Kwa wanawake tu

Hapo mmesha yaongelea au he just decides without consulting you? Hiyo test inaomba some sort of preparation, sio kama malaria test.
Hata mkipima tumieni protection vile vile... maybe yuko incubation period.
 
aaah wapi huoni nimeedit?

umeedit kidunchuuuuuuu tu, maneno mawili tu ndo umeyaedit Mkaka umeweka mwanaume, kungonoka kule uliandika kudoo hihihihihihihihihihihiihihihihihihihihihihihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

ila huku umejimwaga zaidi hihihihihihihhhhhhhhhhhhhhhhhh

jf oyeeeeeeeeee
 
kinadanganya tena?????
Ubaya wa kupima lazima muuze mechi


lazima roho itoke najua
sijawahi pima anyway
mimi mwenyewe nililazimishwa ila imenisaidia maana toka siku ile maisha yangu yalibadilika kwa kweli namshukuru mungu kwa ajili ya huyu mtumishi alonipa
 
ila mimi sio yule mimi sio muuza sura
 
hapo mmesha yaongelea au he just decides without consulting you? Hiyo test inaomba some sort of preparation, sio kama malaria test.
Hata mkipima tumieni protection vile vile... Maybe yuko incubation period.
so utapima au hutopima?
 
Kinadanganya tena?????
Ubaya wa kupima lazima muuze mechi


Lazima roho itoke najua
Sijawahi pima anyway

Mara moja moja kujilipua muhimu
Haya mambo bana huwezi yasemea sana
Hasa kiberenge kikiwa kwenye mteremko, huwa nang'oa na gia na breki zote
Hadi kikute mlima nasimamia mguu.

Ina raha yake jamani
Ayaaaaaa!:hatari::hatari:
 
pamoja na kwamba i fully support kupima kabla ya yote, mimi siwezi kupima katika mazingira ya kushtukiwa au kulazimishwa.
kuna situations huwezi kukataa,mchumbawangu alikuwa ananifukuzia ni mtu wa dini saaaaana kutokana na cv yangu kiukweli sikuwa nataka kuwa nae niliona simdeserve lakini yeye alikuwa ananipenda sana,kwa masharti ya church mchumba unampeleka kwa mchungaji so inabidi uwe na uhakika wa kila kitu including hiv.kupima mimi nikagoma nilikuwa naogopa kweli kweli first time.siwezi kuelezea kila kitu hapa nitakupm lakini mi nililazimishwa toka kipindi hicho hadi nimenenepa nafanya diet sasa.
 
zamani babu si unajua ujana huu siku hzi nimeacha
Good! Afu zingatia sana hii makitu hapa chini! Usidanganyiiiiike!!

Hapo mmesha yaongelea au he just decides without consulting you? Hiyo test inaomba some sort of preparation, sio kama malaria test.
Hata mkipima tumieni protection vile vile... maybe yuko incubation period.
 
Vizuri sana hun. mi sijakataa kupima, but tujipange kua tarehe so and so tunapima. just in case ikitokea kua positive uwe umejiandaa kisaikolojia kwa kupokea hiyo habari.
 
Babu naona tunapishana kwenye hiki chumba cha wanawake kuna nini tena. Ila umemuona kigoli wako mambo yake?
Hahahaha... tunaangalia maslahi binafsi..

Kigoli wangu nimemsoma sana.... na hapa nimemsoma kwa msisitizo zaidi...!!!

Mara moja moja kujilipua muhimu
Haya mambo bana huwezi yasemea sana
Hasa kiberenge kikiwa kwenye mteremko, huwa nang'oa na gia na breki zote
Hadi kikute mlima nasimamia mguu.

Ina raha yake jamani
 
vizuri sana hun. Mi sijakataa kupima, but tujipange kua tarehe so and so tunapima. Just in case ikitokea kua positive uwe umejiandaa kisaikolojia kwa kupokea hiyo habari.
watu wagumu kupima mod mimi nashukuru kwa kunilazimisha hata wale mashem zangu walonishika pale hosp nawaheshimu saaana huku duniani waliniepusha na mengi
 
@aspirin na nitonye
Mnafanya nini huku
Ngoja kungwi aje awatoe.

Babu usihofu, kigori wako yuko fit kabisa.
Anaweza ruka kichura chura usiku kucha.
 
Vizuri sana hun. mi sijakataa kupima, but tujipange kua tarehe so and so tunapima. just in case ikitokea kua positive uwe umejiandaa kisaikolojia kwa kupokea hiyo habari.
Mmmh RR naanza kukufikiria mara mbili mbili........!
Samahani kina dada lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…