Orayt... fanya fanya hima, leo ntataka ile ya "Rais Mapumzikoni". Ile ndo inatufaa sie kizazi cha Break Dance kwa sasa.@aspirin na nitonye
Mnafanya nini huku
Ngoja kungwi aje awatoe.
Babu usihofu, kigori wako yuko fit kabisa.
Anaweza ruka kichura chura usiku kucha.
Eish... Sasa ulifikiri kigori wangu ni dume? Kwamba mi nakula mashoga siyo? Ntake radhi afu mtake radhi na shemejiyo.Leo ndio nimeamini rasmi kuwa Kongosho ni KE!
Mi naijua status yangu. And I encourage watu wote kujijua ili wajipange, kama alivo fanya Smiley. But sio kwa kulazimishana. Ingekua hakuna uwezekano wa test kua positive, people wouldn't test.Mmmh RR naanza kukufikiria mara mbili mbili........!
Samahani kina dada lakini.
Mi naijua status yangu. And I encourage watu wote kujijua ili wajipange, kama alivo fanya Smiley. But sio kwa kulazimishana. Ingekua hakuna uwezekano wa test kua positive, people wouldn't test.
Nafanya, bila a second thought.
mimi walinishika watu sita bwana nilizimia baada ya kunitoa damu mie .i support you 100% rr. Mimi kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye sasa mdingi wake akajua halafu alikuwa ndiye kipenzi chake kwenye familia yake. Yule mzee alichokifanya ni kupanga mpango wa kunifikisha kwa dokta eti wanipime vvu. Walifanikiwa kunifikisha kwenye kituo cha afya ila mbinde ikawa kuitoa hiyo damu maana nilifura kama kifaru wote na dokta wakashindwa kunipima, nikaondoka zangu.
Kwenye kupima sio vizur kulazimishana
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Sorry mkuu Asprin!Eish... Sasa ulifikiri kigori wangu ni dume? Kwamba mi nakula mashoga siyo? Ntake radhi afu mtake radhi na shemejiyo.
Inapendeza sana kujua status yako, hata kama ni + unajua uishi vipi....................... mbona kuna maisha marefu tu baada ya kuwa +? sijui kwa nini watu wanaogopa. hii ni muhimu sana, hasa kwa sisi wamama ambao tuna ma-complications ya kumwagaMi naijua status yangu. And I encourage watu wote kujijua ili wajipange, kama alivo fanya Smiley. But sio kwa kulazimishana. Ingekua hakuna uwezekano wa test kua positive, people wouldn't test.
ndio shostisho hujui ilo?
Good boy!Sorry mkuu Asprin!
Sorry shem Kongosho!
@aspirin na nitonye
Mnafanya nini huku
Ngoja kungwi aje awatoe.
Babu usihofu, kigori wako yuko fit kabisa.
Anaweza ruka kichura chura usiku kucha.
mmmmh nenda kapime
Hata akija na HIV rapid test kit?ataniweza?
Naomba uwamwage hapa walio free, maana naona wengine mpaka wana vidumuGood boy!
Sasa waweza jichagulia mmojawapo wa wajukuu wangu kama zawadi.
Angalizo: Smile usimguse, bado sijamalizia ukaguzi yakinifu.