lol.........
lol nini? Wee ni mwanamke? Unanitia wasiwasi. 🙂
Tatizo ni EMT halafu kwa wanawake tu....lol nini? Wee ni mwanamke? Unanitia wasiwasi. 🙂
Naona midume imevamia!
Kama ni mimi nampiga kibuti huyo mume/boyfriend/buzi na kuhakikisha nampata huyo Jairo/jangiri LOL!
mkuu heshima mbele....
umeshasema kwa wanwake tu...
ulitaka niseme nini zaidi ya kucheka?
we huoni hao watu wanaosukuma hilo gari wanavunja mbavu pia???
Heshima mbele Mkuu. Yea, men pushing a car from the back. Kama vile wanasema Ari mpya, Nguvu Ppya na Kazi mpya only anayesukumwa kusimamishwa. Akirudi watamsukuma tena?
mkuu sio kila anaevaa sruali ni mwanaume....
wazungu wanasema kuna men
na kuna men's men.....
Huyo atakuwa dereva.. Si unawajua kwa kujipendekeza?Nashindwa concetrate na swali... for akili yangu imehamia mengine kabisa...
for instance huyo jamaa wa tatu from the left... hajavaa soksi au macho yangu??
<br />funny<br />
i believe huyo jairo atakuwa anawalamba baadhi ya wake za hao wanaosukuma gari lake...<br />
na hii comment yako hii....ime confirmed what i believe.....
Kwani hata amevaa viatu?