Kwa wanawake waliofanyiwa unyanyasaji makazini, mnashauri kipi kifanyike?

Kwa wanawake waliofanyiwa unyanyasaji makazini, mnashauri kipi kifanyike?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Ni suala la kawaida kwa taasisi kuwa na sexual harassments na rushwa ya ngono ambapo wahanga wakubwa wa suala hili ni wanawake. Suala la kuwa na mahusiano ya kimwili ni la kawaida lakini haliwi sahihi mtu anapotumia cheo chake kulazimisha mahusiano.

Katika kupambana na hili ni muhimu kuwa na sera ya taifa ya usawa wa kijinsia. Pia kuwa na sera za taasisi za jinsia ambazo zioneshe namna ya kushughulikia matukio ya sampuli hiyo?

Kwa wanawake ambao mmewahi kukutana na kadhia ya kutakwa kimwili, mnashauri nini katika kuboresha mazingira ili kukomesha tabia chafu ya harassments na rushwa ya ngono inayoendelea maeneo mengi nchini.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom