revenge,baada ya kusikia mume ana kismall house....
Na wale wanawake wanaocheat kwanza?
hao sijui,hio nimejiongelea mie kwa nini nacheat,i guess msome Kaunga...amekupa majibu tofauti....:redface::redface:
1. Just because they can.
2. Wanapokuwa ignored by waume zao na admired by other men.
3. Wanapokuwa cheated.
4. Wanapotafuta kitu au nafasi.
5. Wasipotoshelezwa kingono na waume zao.
Hizi ni possible sababu ninazodhani kwanini wanawake hucheat!
1. Just because they can.
2. Wanapokuwa ignored by waume zao na admired by other men.
3. Wanapokuwa cheated.
4. Wanapotafuta kitu au nafasi.
5. Wasipotoshelezwa kingono na waume zao.
Hizi ni possible sababu ninazodhani kwanini wanawake hucheat!
Right on points big sisy...........
7. Dharau
8. Vipigo
9. Kutosikilizwa
10. kutomuogopa Mungu (amri ya sita usizini)
kama mume hatumii, hataki au hafanyi utundu wa kula EXPRESS YOURSELF wakati mie nishazoea!
Habari za wakati huu,
naomba kwa dhati tuzungumzie suala hili,wote wanaume kwa wanawake...kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa,?sisemi kuwa wanaume hawatoki nje ya ndoa,ila hata ukiangalia thread nyingi za humu jamvini,nyingi ni za wanaume wanaokuwa na uhusiano na wanawake walio kwenye ndoa,..kwa vyovyote vile kuna tatizo hapo.,na ndipo nataka tuongelee,hivi wanaume walio kwenye ndoa wana matatizo gani,au hao wanawake wanamatatizo gani mpaka watoke nje ya ndoa.?
mimi nawajua wadada watano walioolewa na wana mahusiano nje ya ndoa..na najua humu jamvini mko wengi wenye mifano,
na tujadili.