M mtoto wa maskini JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 1,152 Reaction score 637 Dec 25, 2013 #1 Dawa sahihi ya malaria kwa mama anayenyonyesha ni ipi?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Dec 26, 2013 #2 Nenda Hospital, usipende kupima kwa macho au kupata ushauri wa kimazoea, Mama anayenyonyesha afya yake huwa inazingatiwa na mtoto kulingana factor nyingi sana.
Nenda Hospital, usipende kupima kwa macho au kupata ushauri wa kimazoea, Mama anayenyonyesha afya yake huwa inazingatiwa na mtoto kulingana factor nyingi sana.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Dec 26, 2013 #3 mtoto wa maskini said: Dawa sahihi ya malaria kwa mama anayenyonyesha ni ipi? Click to expand... ni ile anayopewa mgonjwa na daktari baada ya vipimo,
mtoto wa maskini said: Dawa sahihi ya malaria kwa mama anayenyonyesha ni ipi? Click to expand... ni ile anayopewa mgonjwa na daktari baada ya vipimo,