Kuna demu nipo nae kitaa, nilitongoza akanikubalia muda huohuo, sasa wiki imepita sijapewa papuchi.Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naamini ujumbe ameupata na atakujibu muda si mrefu mkuuAidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Pozi la nini sasa...aseme sawa kabla hisia hazijakata.[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]jamani kaah!kuzungushwa hupendi?
Mwingine si km anakua hakutaki Bali hua analeta pozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mzee baba unamaanisha wanaume wengi hatujui kutongoza?Mkuu wenzako siku hizi tunapewa jibu hata kabla hatujamaliza kutongoza...
embu angalia mbinu zako za utongozaji aiseee ukute kuna mahali unakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana raha ya kutongozwa ulete pozi kidogo bwanaa!!!hata dakika 2!!Pozi la nini sasa...aseme sawa kabla hisia hazijakata.
Sasa siunaona tunawapa muda wa kutosha Ijumaa hadi jumapili yote raha zishakutosha...jioni ya Jumapili raha zihamie kwangu.Hapana raha ya kutongozwa ulete pozi kidogo bwanaa!!!hata dakika 2!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume mnaochepuka hamjawahi kukosa sababuAmepost mtoto alikuwa anachezea simu.