Akikukatalia jua hajakubali.Kukubali tu mbona hiyo haina shida, kimbembe ni kukubali copulation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!umenimiss ila huko PM unafanya yakoYaani hadi umefanya nichelewe kukuambia nimekumiss.
Imagine.
Kumbe kuna mtu amemlenga !?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naamini ujumbe ameupata na atakujibu muda si mrefu mkuu
It is well with my Soul!
Kwa kweli kama miongoni mwenu kuna ambao bado wana tumia hiyo kanuni ....waambie itakula kwao ...[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]jamani kaah!kuzungushwa hupendi?
Mwingine si km anakua hakutaki Bali hua analeta pozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hapana mzee baba.... sijamaanisha hivyoKwa hiyo mzee baba unamaanisha wanaume wengi hatujui kutongoza?
Hahaaa!akuu mwenzanguu!!!Sasa siunaona tunawapa muda wa kutosha Ijumaa hadi jumapili yote raha zishakutosha...jioni ya Jumapili raha zihamie kwangu.
Hahahaha, nimekuelewa Mkuu naungana na wewe ktk hiliAidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Kwenye ubora wakoHahahaha, nimekuelewa Mkuu naungana na wewe ktk hili
MTC | 101| [emoji769]
Kwenye ubora wako
Uchochezi rafikiHahahaha, ubora gani tena ? Rafiki
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, Rafiki hata hii nayo nachochea? Sie madomo zege huwa tunapenda majibu ya fasta RafikiUchochezi rafiki
Mbona hujawahi niambia hicho kitu nakusubirisha mwezi mmoja sasaHahahaha, Rafiki hata hii nayo nachochea? Sie madomo zege huwa tunapenda majibu ya fasta Rafiki
Haya bana km nafanya uchochezi
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha kitu gani tena Rafiki ?Mbona hujawahi niambia hicho kitu nakusubirisha mwezi mmoja sasa