Kwa wanawake watafutao watoto bila mafanikio

KISHOKA_ZUMBU

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
163
Reaction score
78
Hii ni habari ya kweli kwa kuwa imenihusu mimi mwenyewe,Kwa miaka tisa nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu bila mafanikio.Nimetembelea hospital mbalimbali bila mafanikio.

Lastly, nimepata dawa kutoka kwa mtaalamu mmoja na mke wangu sasa ni mja mzito.
Hii ni kwa kuwasaidia wale walio katika tatizo kama hilo ambalo linaweza kuleta matatizo katika ndoa, unaweza nawe kujaribu kwani hata mimi nilijaribu na sasa nimefanikiwa.
 
asante kwa taarifa mkuu lakin kama naona maelezo hayajajitosheleza kwa watakaokua na uhtaj wa hyo dawa wasome tu tangazo,mattumizi yake yakoje, gharama, plus mawasiliano au ndio mpka wakufate PM Mkuu?
 
Zaidi ni kwamba inaonekana mtaalam hy ana dawa za kuondoa uvimbe kwa akina mama bila kuwepo haja ya kufanyiwa upasuaji.
 
hongeraa ila ujauzito siyo mtoto.mimi ningeshauri usubiri kwanza ajifungue ndo ulete mrejesho kwani wengi hutumia dawa na kupata mimba ila hukaa kwa muda mchache na kutoka.aendelee kumuomba Mungu huku akijishughukisha.na.shughuli zake.kama jawaida kwan weng wa wanawake ambao huchelewa kubeba mimba bas wakiipata watajidekeza mpaka wakiogopa labda itatoka.Otherwise hii ni habar njema kwa wengine Mungu awatangulie mpate watoto wenye afya njema!
 
Huyo mtaalamu ni mwanaume?ktk utaratibu wa tiba kuna wakati alitoa maelezo mkeo aende kuchukua dawa akiwa mwenywe tu bila wewe?nauliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…