Kwa wanawake wenye bikira

Kwa wanawake wenye bikira

GlorytoGod

Senior Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
158
Reaction score
50
Wanajamvi heshima kwenu,

naombeni kuuliza kuwa kwa mwanamke mwenye bikira anaweza kujisafishaje kama kuna wana jf hapa wameshauri unaweza ukafanya douching ili kuisafisha vizurai k yako?

Na je kuna madhara gani kusafisha k kwa kutumia kidole cha kati labda kwa mtu mwenye fangasi zenye ule uchafu mweupe kama maziwa fresh?

Nitashukuru kwa majibu mazuri
 
Kama una fungal infections,nenda hospitali wakathibitishe ili upate matibabu sahihi.Huna sababu ya kuosha K yako kwa douching as ina madhara mengi pasi na faida.Tumia maji ya vuguvugu na sabuni isiyo na chemicals nyingi kuosha sehemu ya nje yaani vulva(labia majora,minora,perineum,mons pubis,clitoris etc).K usihangaike nayo,kwani huwa inajiosha yenyewe.
 
Hakuna dr anaweza kushauri kufanya douching kamwe. I find it a desperate solution to keep a man. Katibiwe.
 
sasa ujikoholeshe na hali una bikira ya nini??

Si unajikoholesha ili huyo akukute msafi?

Anyway, k ina namna yake ya kutoa kisichohitajika mahali huko.
 
Kama bado unayo njoo nikuvike taji, ila kwa ushauri huo mwingine nawaachia hao waliopita.
 
duh,njoo nkutoe hyo bkra,ili K iwe huru na ujue chakufanya..
 
Back
Top Bottom