Kama una fungal infections,nenda hospitali wakathibitishe ili upate matibabu sahihi.Huna sababu ya kuosha K yako kwa douching as ina madhara mengi pasi na faida.Tumia maji ya vuguvugu na sabuni isiyo na chemicals nyingi kuosha sehemu ya nje yaani vulva(labia majora,minora,perineum,mons pubis,clitoris etc).K usihangaike nayo,kwani huwa inajiosha yenyewe.