kwa wanawake.... wenye ndoa zao.

pombe ina uwezo wa kuvunja ndoa kwa 99.9%,hivyo haifai hata kidogo.
 
Pombe ikizidi kipimo inahatarisha ndoa,inaharibu amani kabisaaaaaa
 
Naona wana wake woote wanaiponda, inamaana nikija kuoa naweza shinikizwa kuacha ndovu enhee! Laki mbona wengine tunashiriki nao kuzikunywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…